Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Marasimu ya kumbukumbu ya Marehemu Ayatullah Sayyid Muhammad Shahcheraghi, aliyekuwa mwakilishi wa awali wa Wilayat al-Faqih na Imam wa Ijumaa wa zamani wa Semnan, ilifanyika Jumapili, 22 Desemba 2025 baada ya Sala ya Magharibi na Isha, katika Msikiti wa Imam Hasan Askari (A.S), kwa kuhudhuriwa na waalimu, viongozi mbalimbali wa kijamii, na makundi tofauti ya wananchi.
22 Desemba 2025 - 22:05
News ID: 1764984

Your Comment